Dkt. Ali Me'mari, mtaalamu wa masomo ya tiba na Uislamu, aliwasilisha mada ya kina kuhusu misingi ya afya katika Uislamu na mchango wake katika kinga na tiba.

1 Agosti 2025 - 14:13

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kongamano la tiba na kielimu juu ya "Umuhimu wa tiba katika Uislamu" limefanya katika Chuo cha Jamiat Al-Mustafa (S) - Dar-es-Salaam - Tanzania, kwa kuhudhuriwa na Daktari Ali Me'mari kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Mtazamo wa Kiislamu Kuhusu Afya Wavutia Wengi Katika Kongamano la Sayansi ya Tiba - Jamiatul Mustafa (s) - Dar-es-salaam + Picha

Habari kamili juu ya tukio hili ni kama ifuatavyo: Kongamano hili la kielimu lililojaa ubora wa aina yake limefanyika likijadili mtazamo wa Kiislamu kuhusu afya na tiba, pamoja na nafasi ya tiba katika maisha ya Mwanadamu kwa mujibu wa dini na maadili.

Mtazamo wa Kiislamu Kuhusu Afya Wavutia Wengi Katika Kongamano la Sayansi ya Tiba - Jamiatul Mustafa (s) - Dar-es-salaam + Picha

Dkt. Ali Me'mari, mtaalamu wa masomo ya tiba na Uislamu, aliwasilisha mada ya kina kuhusu misingi ya afya katika Uislamu na mchango wake katika kinga na tiba.

Kikao hiki kilikuwa na manufaa makubwa kwa washiriki, kwani kiliwaathiri kwa njia chanya na kuwazidishia hamasa juu ya umuhimu wa afya kwa mtazamo wa Kiislamu.

Mtazamo wa Kiislamu Kuhusu Afya Wavutia Wengi Katika Kongamano la Sayansi ya Tiba - Jamiatul Mustafa (s) - Dar-es-salaam + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha